Dodoma, Tanzania. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde alifunga rasmi Jukwaa la Uziduaji kwa mwaka 2024, huku akisisitiza maoni ya wadau mbalimbali ni muhimu katika kuiiendeleza sekta ya Madini,aliipongeza HakiRasilimali kwa kuanda jukwaa hilo ambalo limehudhuriwa na wadau kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya nchi. “Kusanyiko kama hili linatupa nafasi [...]

Wadau wa sekta ya uziduaji waishauri serikali kuweka mikakati thabiti ya kisera na kisheria ili kuhakikisha rasilimali za madini hasa ya madini kimkakati yananufaisha watanzania.Huku takwimu zikionesha mwaka 2022, sekta ya uziduaji ilichangia asilimia 9.1% katika Pato la Taifa na ilichangia zaidi ya 40% ya mauzo ya nje. Akizungumza katika [...]


In Tanzania, the artisanal and small-scale mining (ASM) sector plays a crucial role in the economy, providing livelihoods for many individuals, including a significant number of women. Women contribute substantially to the sector, yet they face significant challenges that hinder their full participation and economic empowerment. Structural barriers, such as [...]


DODOMA: Kamati ya kudumu ya bunge ya nishati na madini imeshauri wadau katika sekta ya uziduaji kufikiria teknolojia mpya itakayowawezesha wachimbaji wadogo kuepukana na matumizi ya zebaki katika uchimbaji wa dhahabu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, David Mathayo katika jukwaa la [...]


WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde, ametaja mikakati ya Wizara hiyo katika kuikuza Sekta ya madini kiuchumi ifikapo 2030 kwa kuwekeza kwanza kwenye utafiti. @wizara_ya_madini_tanzania Amebainisha hayo wakati akihitimisha Jukwaa la Sekta ya Uziduaji yani Madini, Mafuta na Gesi Asilia ambalo limefanyika kwa muda wa Siku Mbili Jijini Dodoma lililoandaliwa na [...]


Mchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa Abel Kinyondo: “Mabadiliko ya Tabia ya nchi ni tatizo kubwa , Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zinazoathiriwa na mafuriko” Katika mjadala wa jukwaa la uziduaji linaloendelea jijini Dodoma Profesa Kinyondo amesema Afrika inachangia [...]

Wadau wa sekta ya uziduaji waishauri serikali kuweka mikakati thabiti ya kisera na kisheria ili kuhakikisha rasilimali za madini hasa ya madini kimkakati yananufaisha watanzania.Huku takwimu zikionesha mwaka 2022, sekta ya uziduaji ilichangia asilimia 9.1% Akizungumza katika jukwaa la uziduaji mwaka 2024 lililofanyika Dodoma , muhadhiri wa chuo kikuu cha [...]

As Tanzania edges closer to the much-anticipated LNG project, the potential economic benefits are undeniable, the pressing question remains: will LNG serve as a steppingstone toward a cleaner energy future, or will it trap Tanzania into a prolonged dependence on fossil fuels? Let’s discuss the more sustainable way forward for [...]
Recent Comments
Archives
Categories
Search
Most View
-
-
-
Ntabalale Mine Gender PolicyApril 17, 2023
-
Ushauri wa Kamati ya Kudumu ya Bunge kwa WachimbajiApril 17, 2023